THE CONFEDERATION OF AFRICAN ATHLETICS-CAA

August 21, 2015

Kutoka Kulia-Katibu Mkuu Wa Shirikisho la Riadha Kanda ya Afrika Mashariki,Rais wa Riadha Tanzania,Rais wa Riadha Sudan ambaye Pia ni Naibu Waziri wa Ulinzi serikali ya Sudan,Rais wa Riadha Ethiopia ambaye pia ni Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu serikali ya Ethiopia,Rais wa Riadha Sudan Kusini ambaye pia ni Mkurugenzi wa sera na biashara wizara ya mambo ya nje Sudan Kusini,Rais wa Gambia ambaye Pia ni naibu IGP Gambia,Mjumbe wa Baraza la Riadha Bara la Africa kutoka Sudan ambaye pia ni Balozi wa Heshima Nchini Mexico,Na Rais wa Riadha Wa Guinea ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi(Chief of Staff) la Guinea Conakry.Ndani ya Ukumbi mpya wa African Union.

AT keen on Rio Olympics prep

August 21, 2015
TOC

Wilhelm Gidabuday/File Photo
Athletics Tanzania (AT) has come into agreement with Hanang Sports Club to promote athletics ahead of next year’s Brazil Olympics.
Both AT president Anthony Mtaka and Hanang Sports Club founder Wilhelm  Gidabuday confirmed the deal which is expected to step up preparations of athletes for the Olympics.
In an interview Mtaka said under the pact the two organisations will work together in soliciting and raising funds to enable athletes’ preparations.
“This has been reached to complement our ever growing sponsorship challenges. Doors are open to companies, individuals and organisations to join in sponsorship while hoping in turn to win medals and improve athletes’ performance”, he said.
He said the pact will also help to market Olympics in the country as plans are underway to have an international marketing film which will raise athletics profiles.
Mtaka could not disclose amount of money expected to be raised from the pact, saying AT executive committee meeting to be held in Dar es Salaam tomorrow will disclose the sum. The AT president said the only way for the country to perform well at the next year’s Olympics is early preparations.
He said the money raised will help AT to organise athletes’ camp at the end of  September.
Gidabuday said Tanzania Olympic Committee (TOC) is aware of the pact. TOC secretary Filbert Bayi could not be reached for comment.  
Gidabuday said plans are underway to organise a fund raising walk from Ujiji to Dar es Salaam.
He also said as part of its fundraising strategy a marketing film will be on hire to create documentaries, videos for popular sports personalities and other tourist attraction areas to post them on you tube and other popular forums.
“This time around, we are very serious on preparations for the Olympics; we want to make sure that our team is well prepared before the Games. We will use any means available to see that next year Tanzania athletes are coming home with medals”, he said.
SOURCE: THE GUARDIAN

Hatimaye Shirikisho la Riadha Nchini (RT) Yajadili na Kupitia Katiba Mpya

August 21, 2015



Profesa Elisante Ole Gabriel

Chama Cha Riadha Tanzania (RT) kilifanikiwa kujadili na kupitisha katiba yake mjini Morogoro. 


Mkutano huo mkuu uliohudhuriwa na wajumbe wa mikoa 18 na kamati ya utendaji wa chama hicho ulifunguliwa na mgeni rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel.


Pamoja na vifungu vyote vilivyokuwa katika ‘Draft Proposal’ kupita lakini muhimu zaidi ni kipengele kilchoweka ushiriki maalum wa Zanzibar katika chama hicho.


Mkutano ulifanyika na kumalizika salama chini ya uenyekiti wa rais wa shirikisho hilo Anthon Mtaka (DC Hai) na Katibu wake Suleman Nyambui huku maelezo ya kisheria yakifafanuliwa na mwanasheria wa RT Thabit Bashir.

Athletics trio to train in Eldoret

August 21, 2015


International Association of Athletics Federations (IAAF)
Three Tanzanian athletes, Fabian Sulle, Fabian Joseph and Bazil John, leave for Kenya today to take part in a one-year training camp at t Eldoret-based Kipchoge Keino Academy.
 
The camp, according to Tanzanian Olympic Committee (TOC) secretary general Filbert Bayi, is coordinated by the International Association of Athletics Federations (IAAF) for athletes from various parts of the world, who are competing in various distance races.
 
Bayi said it will be the second time for Tanzania to win the scholarships for its athletes at the academy. The country landed the scholarships for the first time ever in 1969, in which it sent three athletes.
 
The TOC official said Nelson, Joseph and John have signed contracts to attend training at the camp, noting that the trio will face expulsion from the camp should they entertain either absenteeism or indiscipline. 
 
He disclosed that the country’s two other athletes, Dickson Marwa and Alphonce Simbu, have been left out of the camp following the failure by the IAAF to confirm the two athletes’ participation in races sanctioned by the world athletics governing body.
 
Bayi also said Tanzanian athletes that have missed out on the camp will continue training in the country whilst waiting for scholarships from the Olympic Solidarity.
 
Athletics Tanzania (AT) secretary general Suleiman Nyambui expressed sincere appreciation to TOC for assisting the national athletics governing body to request for the scholarships.
 
SOURCE: Gidabuday Blog

National cross-country Championship on Feb

August 21, 2015

The National Cross-Country Championship is expected to take place in Arusha on February 15, Athletics Tanzania (AT) has announced.


The association’s secretary general, Suleiman Nyambui, confirmed that the tournament will involve all athletes from Tanzania Mainland and Zanzibar with the aim of forming the national team that will participate in an international meet in Switzerland in March.
“The event aims at selecting a strong national team that will represent the country in the international competition in Switzerland in March,” he said. 
“It also gears towards promoting athletics so it can attract the attention of sports enthusiasts in the country.”
Nyambui insisted all athletes should participate in the event so AT can have greater opportunity to select talented athletes from across the country.
“With strong determination, hard work, passion and commitment we can make great strides in the sport and turn our athletes into outstanding performers in the world,” he said.
Nyambui called upon students to participate in athletics with a view to preparing strong foundation for the sport’s progress. 
SOURCE: THE GUARDIAN

AT president attending IAAF Diamond League

August 21, 2015
AT President Anthony Mtaka
Athletics Tanzania (AT) president Anthony Mtaka is attending a mid-year International Associations of Athletics Federation (IAAF) meeting in Doha.
Mtaka who spoke from Doha yesterday,  said he has been invited by Qatar Athletics Federation to watch the ongoing Diamond League, but will use the opportunity to attend the   IAAF meeting as well.
He declined to unveil the meeting’s agenda and only said he is closely following progress of the Diamond League.
He said the athletics association of Qatar extended invitation to him on his capacity as AT president as well as an individual. 
‘As the president of QAF & chairman of LOC, again, this year too, it gives me great pleasure to invite you to attend the Doha 2015 Diamond League edition scheduled to be held on May 15th at Qatar Sports Club here in Doha’, said part of an invitation letter extended by QAF.
 AT secretary general Suleiman Nyambui confirmed that Mtaka is in Qatar and he hopes the president would gain useful experience from the Diamond League event.
The Diamond League has attracted many athletes which include thirteen reigning Olympic and ten world athletics champions. 
SOURCE: THE GUARDIAN

Rais wa RT Awaasa Wanariadha nchini kufanya Mazoezi kwa Bidii

August 21, 2015


Rais wa shirikisho la riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka akizungumza katika tamasha hilo.
Waziri mkuu Mstaafu ,Frerick Sumaye akitoa hotuba yake wakati wa tamasha la nane la mbio za kimataifa za Ngorongoro Marathoni zilizofanyika mwishoni mwa wiki Karatu mkoani Arusha.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania and  Adventures,Zainab Ansel akitoa zawadi kwa washindi wa mbio za Km 5 upande wa wasichana.
Waziri mkuu mstaafu ,Fredrick Sumaye akizungumza na mshindi wa kwanza mbio za Km 5 kwa upande wa wasichana aliyemaliza mbio bila ya kuwa na kiatu,Sumaye alimpatia zawadi ya fedha kwa ajili ya kununua kiatu.
Umati wa wananchi ukifuatilia matukio mbalimbali katika mbio hizo.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania and Adventures ambao ndio waandaaji wakuu wa mbio hizo,Zainab Ansel akikabidhi zawadi kwa mwakilishi wa Bonite Bottlers ambao pia walikuwa wadhamini wa mbio hizo.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania and Adventures ambao ndio waandaaji wakuu wa mbio hizo,Zainab Ansel akikabidhi zawadi kwa mwakilishi wa Exim Bank  ambao pia walikuwa wadhamini wa mbio hizo.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania and Adventures ambao ndio waandaaji wakuu wa mbio hizo,Zainab Ansel akikabidhi zawadi kwa mwakilishi wa Marenga Investment ambao pia walikuwa wadhamini wa mbio hizo.
Waziri mkuu mstaafu ,Fredrick Sumaye akikabidhi zawadi kwa mkurugenzi wa Zara Tanzania and Adventures kama mwandaji mkuu wa mbio hizo.
Washindi wa mbio hizo kwa upande wa wanawake,
Waziri mkuu mstaafu ,Fredrick Sumaye akimvisha medali mshindi wa kwanza katika mbio hizo,Failuna Abdi.
Waziri mkuu Mstaafu akiwa katika picha ya pamoja na washindi.
Waziri mkuu mstaafu akimvisha medali ,mshindi wa kwanza katika mbio za km 21 kwa upande wa wanaume ,Joseph Theofily,

Waziri mkuu mstaafu akiwa katika picha ya pamoja na washindi kwa upande wa kiume.

Watanzania watamba Ngorongoro Marathon 2015

August 21, 2015


Waziri mkuu Mstaafu , Fredrick Sumaye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakiwemo waandaji buda mfupi kabla ya kuanza kwa mbio za Km 21 Katika gate la kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro,
Waziri mkuu Msaatfu Fredirick Sumaye akikimbia sambamba na rais wa shirikisho la riadha Tanzania,RT,Athony Mtaka(Kushoto kwake) mkuu wa mkoa wa Arusha ,Daud Ntibenda,pamoja na mkuu wa wilaya ya Karatau Omary Kwaang kuashiria kuanza kwa mbio za Ngorongoro Marathoni.
Maratibu wa Mbio , Meta Paul akiwa na mmoja wa wasiamamizi ,Leila wakati wakiwaandaa wanariadha kuanza mbio za Km 21 katika lango la kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.
Mbio zikianza rasmi.
Baaadhi ya washiriki katika mbio hizo ,walikuwemo pia wadhamini kama Maremga Investment,hapa Marenga mwenye truck suit nyeusi akijaribu kukimbiza upepo.
Awawli mbio zikiwa bado ndio zimeanza kundi la wakimbiaji lilionekana wote wanakimbia kwa karibu.
Muda ulivyosonga na hatua ndivyo zilivyo ongezeka.
Hatimaye wakaanza kuachana mmoja baada ya mmoja,
Wengine wakaamua kwenda pamoja ili kupeana moja.
wengine wakafunguka zaidi.
Hatimaye wakapatikana wakimbiaji watatu wakaongoza hadi mwisho wa mbio na hawa ni ,Joseph Theofily(katikati),George Gerald (kulia) na Emanuel Giniki.
Mkimbiaji raia wa Kenya ambaye jina lake halikufahamika mara moja akijaribu kuonesha umahiri wake katika mbio hizo.
Msichana pekee aliyekuwa akiongoza ni Failuna Abdi .
Nyuma ya Failuna alikuwepo Nathalia Elisante.
Mshindi wa kwanza katika Mbio za Ngorongoro Maratahoni 2015 ,Joseph Theofily akimaliza mbio hizo katika uwanja wa Mazingira Bora akitumia muda wa 1:03:09.
Mshindi wa Pili katika mbio hizo ,George Gerald akihitimisha mbio hizo akitumia muda wa 1:03:36
Mshindi wa tatu ,Emanuel Giniki akikalimilisha mbio kwa muda wa 1:03:42.
Giniki akijaribu kupoza koo mara baada ya kumaliza mbio.
Mkimbiaji wa klabu ya riadha ya Holili,Osward Moris akihitimisha mbio.
Mshindi wa kwanza kwa kina dada Failuna Abdi akihitimisha mbio katika nafasi ya kwanza baada ya kutumia muda wa 1 :10:25

Mgeni rasmi katika mbio hizo ,Waziri mkuu Mstaafu ,Fredirck Sumaye akiingia uwanjani huku akihitimisha mbio za km 21 .

WANARIADHA wa Tanzania Joseph Theofily wa klabu ya riadha ya Holili ya mkoani Kilimanjaro na Failuna Abdi wa klabu ya riadha ya Winning Spirit ya jijini Arusha wamefanikiwa kupeperusha vyema Bendera ya taifa baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika mbio za kimataifa za
Ngorongoro Marathoni kwa upande wa wanaume na wanawake.

Mwanariadha Theofily alifanikiwa kumaliza mbio za km 21 akitumia muda wa saa 1:03:09 na kujinyakulia kitita cha sh Mil, 1. mbele ya wakongwe wengine kutoka nchi za Kenya ,Uganda na Malawi huku Gabriely Gerald wa klabu ya Winning Spirit ya jijini Arusha akishika nafasi ya pili akimaliza mbio akitumia saa 1:03:36 na kujinyakulia kitita cha sh laki 5.

Emanuel Giniki alifanikiwa kushika nafasi ya tatu na kujinyakulia zawadi ya sh 250,000,nafasi ya nne ikichukuliwa na Ezekiel Therop huku mwanariadha Mohamed Msenduki wa klabu ya Wining Spirit ya jijini Arusha akimaliza nafasi ya tano.

Mwanariadha wa kike Failuna aliyerejea hivi karibuni kutoka nchini Brazil kushiriki mashindano ya mbio za Km 15 ambazo alifanikiwa kumaliza mbio hizo katika nafasi ya saba,aliwaongoza wakongwe kama Banuelia Bryton ,Marry Naali Jackline sakilu na Catherine Range akimaliza mbio katika nafasi ya kwanza kwa kutumia muda wa saa
1:10:25.

Failuna aliyejinyakulia zawadi ya kitita cha kiasi cha sh Mil,1. alifuatiwa kwa karibu na mpinzani wake Nathalia Elisante aliyetumia muda wa 1:14:40 na kuzawadiwa kitita cha sh 500,000 huku nafasi ya tatu  ikichukuliwa na Magdalena Crispine aliyetumia muda wa 1:15:56, nafasi ya nne na tano ikienda kwa Anjelina Tsere na Merry Naali.

Mbio za kimataifa Ngorongoro Marathoni zinafanyika zikiwa na lengo la kuwawezesha watoto wa jamii ya kimasai kupata elimu ikiwemo kumalizia shule ya Endulen iliyoko Ngorongoro na kutangaza urithi wa utalii kupitia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro huku ikishirikisha pia mbio za Kilomita tano kwa wafanyakazi wa taasisi mbalimbali pamoja na  Km 2.5 kwa wanafunzi.


Kwa picha zaidi ingia hapa,

www.dixonbusagaga.blogspot.com
 

Copyright © 2015 - 2025 Athletics Tanzania All Right Reserved

Developed by Gadiola Emanuel
Theme By AP | Developed By Gadiola Emanuel