Kituo cha Michezo ya Riadha kujengwa mkoani Manyara


Na Wilhelm Gidabuday,


Waziri wa Michezo / Mh Nape Nnauye
Serikali imesema kuwa itajenga kituo cha michezo ya riadha mkoani Manyara. Maandalizi yakikamilika ujenzi utaanza.

Hali ya hewa ya mkoa wa Manyara inafaa kwa mazoezi ya mchezo wa riadha


Serikali kupitia mkoa wa manyara imepanga kujenga kituo cha michezo kwa kushirikana na wananchi, aidha wanashughulikia kupatikana kwa eneo husika. 

Maandalizi yakikamilika na mazungumzo yakikamilika, ujenzi utaanza.

Post a Comment

0 Comments