Mwanariadha Benjamin Fernandi Ratsim Apokelewa na Rais wa shirikisho la Riadha Tanzania -RT Rogath John Stephen Akhwari (Kushoto) na Kocha Dennis Malle (Kulia) baada ya kushinda medali ya shaba katika mbio za kilomita 15 @nnzevenheuvelenloop kwa Dakika 41:49 na kuvunja rekodi ya Taifa huko Uholanzi. #AthleticsTanzania




Post a Comment