Kutoka
Kulia-Katibu Mkuu Wa Shirikisho la Riadha Kanda ya Afrika Mashariki,Rais
wa Riadha Tanzania,Rais wa Riadha Sudan ambaye Pia ni Naibu Waziri wa
Ulinzi serikali ya Sudan,Rais wa Riadha Ethiopia ambaye pia ni Waziri wa
nchi ofisi ya Waziri Mkuu serikali ya Ethiopia,Rais wa Riadha Sudan
Kusini ambaye pia ni Mkurugenzi wa sera na
biashara wizara ya mambo ya nje Sudan Kusini,Rais wa Gambia ambaye Pia
ni naibu IGP Gambia,Mjumbe wa Baraza la Riadha Bara la Africa kutoka
Sudan ambaye pia ni Balozi wa Heshima Nchini Mexico,Na Rais wa Riadha Wa
Guinea ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi(Chief of Staff) la Guinea
Conakry.Ndani ya Ukumbi mpya wa African Union.
0 Comments