Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (MB)
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group Roberto Jarrin
alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (MB)
akielezea jambo alipotembelewa na Uongozi wa TBL na Excutive Solution
ambao ni wadhamini na waratibu wa Mbio za Kilimanjaro Marthon leo jijini
Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group Roberto Jarrin na kushoto ni Mkurugenzi wa Masuala ya Ushirikiano Bibi. Georgia Mutagahywa.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (MB)
akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group Roberto Jarrin
alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (MB)
akifurahia jambo alipotembelewa na Uongozi wa TBL na Excutive Solution
ambao ni wadhamini na waratibu wa Mbio za Kilimanjaro Marthon leo jijini
Dar es Salaam. Kutoka kulia kwa Waziri niMkurugenzi
Mtendaji wa TBL Group Roberto Jarrin, Mkurugenzi wa Masuala ya
Ushirikiano Bibi. Georgia Mutagahywa na Mkurugenzi Mkuu wa Excutive
Solution na Mshauri wa Mahusiano wa TBL Bw. Aggrey Marealle.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (MB)
akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group Roberto Jarrin
(kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Excutive Solution na Mshauri wa Mahusiano
wa TBL Bw. Aggrey Marealle NA Mkurugenzi wa Masoko wa TBL Group Bibi.
Kushilla Thomas (wapili kutoka kulia).
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (MB)
akikabidhiwa zawadi kutoka TBL kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa TBL
Group Roberto Jarrin (kushoto) kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Lager
alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL Group Bibi. Kushilla Thomas (wapili kutoka
kulia) na Meneja Masuala ya Nje na Mawasiliano Bibi. Emma Oriyo.
Picha Zote na: Frank Shija, WHUSM.
Na: Frank Shija, WHUSM
WAZIRI
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya Kilimanjaro Marathoni
yatakayofanyika tarehe 28 Februari kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha
Ushirika Moshi.
Hayo
yamebainisha na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Executive Solution ambayo
ndio waratibu wa mbio hizo Bw. Aggrey Marealle walipotembelea ofisini
kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam.
“Mbio
za Kili Marathon zinatarajia kufanyika tarehe 28 mwezi huu katika
viwanja vya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ambapo mgeni rasmi atakuwa
Mhe. Nape Moses Nnauye Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo”.
Alisema Marealle.
Marealle
alisema kuwa Mbio hizo zitakuwa katika makundi manne ambayo ni mbio za
Kilomita 42 ambazo ndiyo marathoni yenyewe inayothaminiwa na TBL kupitia
bia ya Kilimanjaro,zingine ni Nusu Marathon za kilomita 21
zinazodhaminiwa na Tigo,mbio za kilomita 10 zinazowashirikisha walemavu
wanaotumia Baiskeli za matairi matatu na Viti vya matairi
zinazodhaminiwa na kampuni ya mafuta ya Gapco na mbio zinginge ni za
kilomita 5 ambazo zinadhaminiwa na TBL kupitia kinywajji cha Grand Malt
Aliongeza
katika mbio hizo washindi kumi kila kundi watapewa zawadi ambapo
mshindi wa kwanza kwa mwanaume na mwanamke katika mbio za kilomita 42
watapatiwa zawadi ya shilingi milioni nne kila mmoja.
Aidha
alisema kuwa zaidi ya washiriki 7000 wanakadiriwa kushiriki mbio hizo
huku kati yao takribani washiriki 1000 watatoka nje ya nchi.
Kilimanjaro
Marathon inatimiza miaka 14 tokea kuanzishwa kwake ambapo waandaji wa
mashindano hayo ni Kampuni ya Wild Frontiers ya Afrika Kusini na
kuratibiwa na Executive Solutions Ltd ya Tanzania na mdhamini mkuu wa
mbio hizo ni Kampuni ya Bia TBL kupitia Bia ya Kilimanjaro Lager.
IOC President Thomas Bach stressed the importance of the Olympic family working together (Photo: Getty Images/Matt King)
IOC and International Federations working with Rio 2016 to find intelligent solutions to budgetary challenges.
“The
Olympic movement will show solidarity with the Brazilians in order to
achieve a balanced budget, which will then serve as a solid foundation
for the next six months to have finally successful and excellent Olympic
Games in Brazil,” said Thomas Batch, the president of the International
Olympic Committee (IOC) this week.
On
Monday and Tuesday (1-2 February) Rio 2016 met with representatives of
the 28 Olympic summer sport International Federations (IFs) in a joint
effort to deliver efficiencies in the budget for the Olympic Games. In
line with the IOC’s Agenda 2020 reforms, strategies for maintaining a
balanced budget were the focus of the meeting at the IOC headquarters in
Lausanne, Switzerland.
The
parties worked together to find creative solutions that will allow
organisers to deliver successful Games on a responsible budget. With
Brazil currently in recession, sustainability and legacy are key to all
Games planning and the Rio 2016 organising committee is committed to
using zero public money.
The
meeting was part of the ongoing close dialogue between the IOC, Rio
2016 and the IFs. Rio 2016 President Carlos Nuzman led the Rio 2016
delegation and was accompanied by his executive director of sport
Agberto Guimarães and sport director Rodrigo Garcia. The IOC was led by
Olympic Games executive director Christophe Dubi and sport director Kit
McConnell.
Among
the ideas designed to increase efficiency that were presented to the
IFs were shared working areas and more cost-effective transport
solutions.
Matt
Smith, executive director of the International Rowing Federation
(FISA), told Inside that Game that the meeting was “really useful for us
all” before adding “we have to be very efficient and make the Games
financially viable for the future”.
The
process is in line with the IOC's Agenda 2020 reform. within which
promoting sustainability in all aspects of the Olympic Games is a key
component.
Picha Zote na Gadiola Emanuel, Dodoma. 0755 643 633
Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa akifika kwenye banda la kuandikishwa washindi wa mbio hizo za HAPA KAZI TU Dodoma Half Marathon iliyofanyika tarehe 30 Jan, 2016 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa akielekea jukwaa kuu baada ya kukimbia km 2 katika mbio za HAPA KAZI TU Dodoma Half Marathon iliyofanyika tarehe
30 Jan, 2016 Mjini Dodoma.
Mhe. Waziri mhe. Majaliwa (katikati), Naibu Spika (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Galawa (kulia)
Waziri Mavunde baada ya kushiriki mbio hizo
Mwanamuziki Stara Thomas nae alishiriki
Waziri Angellah Kairuki, Mama Samwel Sitta na Waheshimiwa wengine walishiriki
watoto hawa nao walishiriki mbo hizo
Officials wa chama cha riadha nchini, wakiongozwa na Filbert Bayi wakipanga mipango mbali mbali
washiriki wa mbio za km 21.1 wakijiandaa
Waziri Nape Nnauye
Waziri Mkuu akijiandaa kupuliza filimbi ya kuashiria kuanza kwa mashindano ya km 21.1 ya wanariadha wazoefu.
Filbert Bayi to a risk in lead from the front at the start of the 1974 Commonwealth Games 1500m race. Photo / Herald archives
By Michael Brown
Forty years ago on Sunday at the 1974 Commonwealth Games in Christchurch
The world witnessed one of the greatest middle distance races of all time.
Some say it was the greatest-contested by one of the best fields for a major competition. This is their story.
The Buildup
The
track and field meeting burst into life on the opening day when Dick
Tayler won gold for New Zealand in the 10,000m and continued with a
series of top performances in the 800m, 5000m, 3000m steeplechase and
marathon.
But there was
tremendous excitement as the field lined up for the 1500m, a field that
included three medallists from the 1972 Olympic Games - Rod Dixon
(bronze in 1500m), Ben Jipcho (silver in 3000m steeplechase), Mike Boit
(bronze in 800m) - as well as England's Brendan Foster, who won bronze
in the 1500m at the 1970 Commonwealth Games, top Australian Graham
Crouch and 1980 Olympic 5000m silver medallist Suleiman Nyambui And John
Walker and Filbert Bayi.
Keith Quinn (TVNZ commentator)
I
wrote a preview for the Listener a couple of weeks out from the
Commonwealth Games and said I thought one of the highlights might be the
1500m race between John Walker, Rod Dixon and Filbert Bayi. Some smart
sub-editor at the Listener thought there was no way anyone would have a
name like Filbert so changed it to Gilbert Bayi. I was furious. Of
course, in those days, I knew everything.
Rod Dixon (New Zealand)
At
a race in Wales in 1973, John came up alongside me and passed me. I
knew then, as the bronze medallist from the last Olympics, I was in
trouble. At the trials for the Commonwealth Games, John beat me well and
truly. I went back into training but was having some trouble with back
pain. I had pinched a nerve and couldn't shake it off, but I went to the
Cooks Gardens Mile and beat him. That put me on an even footing with
John but I was still very aware of his potential.
John Walker (New Zealand)
My
coach said it would be fast. He said to me I would have to break a
world record to beat Bayi. I said, 'no way. I can't run that fast'. I
had run 3.38 and to improve another five seconds I couldn't comprehend
that. Arch reassured me that I would do it and I would break the world
record.
Brendan Foster (England)
I
had already run the 5000m against Jipcho. We ran the second and third
fastest 5000m in history and it was a really close finish - he just beat
me on the line - so my preparation was all for that. Because it was the
Commonwealth Games and I had run the 1500m in the past - I got a medal
in the 1970 Games - it was just like an extra race for me. I was
enjoying all the buildup. I already had my medal and had run a really
good race.
Dixon
As
the Commonwealth Games approached, I hurt my back again. I couldn't
come to the opening ceremony and stayed in Nelson to get treatment. I
remember John running in the 800m when he got third and I knew with
Walker and Bayi we had a 1500 final that was going to be a hell of a
race.
Graham Crouch (Australia)
In
Stockholm in 1973, Jipcho beat Bayi in a mile race in 3.52. They would
both be in Christchurch, so I knew from then on how the race would be
run. With Dixon, Foster and Boit all in Munich in 1972, and having been
in Canada in 1973 with the emerging Walker, I knew I was preparing for a
"hot'' race. I left Europe knowing what I had to prepare for. My
training from then on was based around the expectation of Bayi running
through 800m in 1.52.
Filbert Bayi (Tanzania)
I
preferred to run that way after what happened at the Munich Olympics in
1972 when there was a lot of jostling and pushing. I thought then, 'why
not run in front by myself?'
Walker
I had never seen Bayi before. I had heard about him and knew the way he ran but I didn't think he would do that in the final.
Bayi
Going
out fast was my style and a new revolution of middle distance running -
catch me if you can. I planned for both the heats and finals of the
1500m one week earlier, just after I arrived and got used to the
atmosphere of Christchurch. I knew my front running would work due to
the training and time trials I did in competition before arriving in New
Zealand. There was no doubt about my tactics due to the fact I knew all
my opponents.
Ralph King (New Zealand Herald Jan 31)
The
top-ranked 1500m runner in the Commonwealth, F Bayi of Tanzania, should
also qualify [for the final] but as Walker came from considerably
behind to sprint him out of the 800m bronze medal on Tuesday, neither
Dixon nor Walker will hold any fears of him.
Quinn
It
wasn't always clear Walker was going to be the better of the New
Zealanders. After all, Dixon had won bronze at the Munich Olympics two
years before in the same event so was highly rated. Walker was seen in
1972 as an 800m man. I think he and Bruce Hunter the All Black should
have gone to Munich in the 800m. Both had qualified but the New Zealand
Olympic Committee, in their wisdom, took neither.
Arch Jelley (Walker's coach)
I
remember the week before [the Commonwealth Games] John had to run a
400m race in preparation for the 800. He ran 49.9, which was very slow
for him but he had been lying in the sun all day and by the time he had
got to his race he was a bit fatigued. The press wrote him off. I was in
Auckland but I thought I should go down right away so I went down and
put him over 600m and he did a personal best. I said to him, 'look, boy,
you're in great shape, don't worry about your 400'.
Walker
I
was in the best shape of my life, probably better shape than I was at
the Olympics [in 1976]. But I couldn't see myself getting a medal. I was
young and naive. I had only run three 1500s in my life. I classified
myself as an 800m runner and I had already got a medal in that. Anything
I did in the 1500 was a bonus because the calibre of the field was very
strong.
Jelley
The
day before [the 1500m final] he came out to my brother's place where we
were staying and we had a game a cricket, not that John was a
cricketer. The bat was only a foot long and we played for a few hours.
John did a lot of bending down. When he work up the next morning he was a
bit stiff with all his bending.
Walker
I
woke up the next morning so stiff and sore I could hardly walk. I was
using muscles I don't normally use. I had to do an extra 20 minutes
warmup.
Jelley
He
went for a bit of a run. I remember someone yelling out, 'who do you
think you are? Are you training for the Olympics?' There was never a
truer word.
The Start Line
By
the time the competitors lined up for the 1500m final, the last race on
the Commonwealth Games programme, there was intense interest in the
contest.
Quinn
The
event badly needed a race like Dick Tayler's to lift the crowd. We
didn't really understand the Commonwealth Games and it took the
excitement of Dick Tayler's race to lift interest in track and field. If
you look at the back straight on the first day it's empty but after
Tayler won - and it was a big colour TV event being the first time we
had seen colour TV at a summer sports event in New Zealand - that
sparked the interest. By the time the 1500m race came, you couldn't get a
seat. It was fantastic.
Foster
Before
the race, there was plenty of chatter. We all knew what the guy was
going to do and, because it was a the Commonwealth Games, everyone could
speak English. 'My god, he's going to go out and he's probably going to
out earlier than we think'. My compatriot, John Kirkbride said, `are
you going to go with him, it's a stupid way to run a 1500m race? I said,
`John, we've got no choice'.
Dixon
Walker
had the image of Bjorn Borg with the long hair. He knew this was his
moment. He felt the crowd had come to see him. He was strutting his
stuff but that was John. We never talked about running for New Zealand.
John was running for himself and Rod was running for himself. Being a
bit more of a romantic than John, I thought it would be cool to have a
one-two for New Zealand like Snell and Davies in Tokyo in 1964 (ed -
Davies was third in Tokyo). Obviously I wanted to be first and John
second.
Jelley
At
that time we didn't know John would even be placed in the race. He was a
3.38 runner and all these guys were 3.34, 3.35 so he was by no means
the favourite.
Quinn
David
Coleman of the BBC was right behind us. We were very envious because he
had a young lad who just looked after him for the Games. We would often
see this lad running milkshakes, Coca Cola or pies up the aisle to
David Coleman. He was incredibly powerful and had the big reputation,
too.
The Gun
Almost immediately, Bayi opened up a sizeable gap on the rest of the field.
Walker
I
wasn't going to run with him. I didn't think I could run that fast.
Here was me, five seconds slower. I had to sit back. I thought Dixon was
the man to get me up there. He was the Olympic bronze medallist and was
going to be my savour. I would follow him because I had beaten him a
couple of times.
Crouch
My
plan was to go with the group, knowing Bayi would be out front. I was
comfortable with the pace because all my training for the previous six
months had been preparing for it. Jipcho had caught Bayi in Stockholm,
so my plan was to stay with the following group.
Dixon
Bayi
sprang out and, although he didn't run away from us, he got this
incredible gap. Traditionally in the 1500, everyone lazily takes off. If
you want to put any distance on anyone, you have to do it in the first
150m. You can catch a lot of guys napping.
Foster
The 1500m up to that point had been steady for three laps and then a sprint. Filbert changed the rules.
Jelley
We
thought Bayi would go out fast like he had done in Europe. In every
other race he had gone out fast and folded so we thought we would let
him go and fight it out with the rest.
Dixon
John and his coach had decided they were going to watch me and follow me. I sensed that.
The First Lap
Bayi
took just 40.6 seconds to reach the finish line for the first time,
which was five seconds faster than Jim Ryun had done when setting the
world record in 1967, and covered the first 400m in 54.4 seconds. He had
a 10m-gap on the rest of the field.
Foster
Unfortunately
his first lap was about 54 seconds and I thought there was no way you
could run 54 seconds and keep going - certainly I couldn't. The race
went on at a furious pace. It was like oxygen debt after 200m and it was
a case of hanging on. It was a real test of strength. It was more like a
distance race than a 1500m race. The guy was phenomenal.
Walker
I
thought I was running pretty smart. He went through in 54 and I went
through in 57. I felt good. I felt so good during that race.
Bayi
After
the first lap, I knew something was going to happen - winning gold,
improving my previous best time over 1500m or even breaking Jim Ryun's
world record. It was going according to my plan, [and I] recalled my
race with the great 1500m Kenyan athlete Kip Keino when I beat him in
Lagos, Nigeria, at the All Africa Games and used the same tactics.
Dixon
I
felt that, like the Olympics, if it was hard from the gun I had a
better chance. I was a strength runner rather than a speed runner. When
Bayi went out I thought, 'this is good'. Once he set his pace and wasn't
running away I knew we had the potential to catch him with 600m to go. I
felt we would catch him - strength in numbers. He was the hunted and
knew it. Continued below.
Related Content
New management structure for Jacko Gill
Quinn
Our
commentary was good. At one stage (co-commentator) John Davies said as a
little sidebar, 'there's Filbert Bayi. Back in Tanzania he trains by
running through the jungle and sometimes when he runs home from school
he gets chased by a tiger'. The TVNZ switchboard in Auckland lit up with
people shouting down the phone, `tell that commentator there are no
tigers in Africa'.
The Bell
Bayi's third lap of 59.5 seconds was the slowest but he still had a significant lead when the bell signalled the final 400m.
Bayi
At
the bell I looked over my shoulder and saw the chasing group closing
on me. I then accelerated and widened the gap again but at the same time
saving my strength for the last 50 or 100m when Walker, Jipcho, Dixon
and others were good.
Dixon
I
knew something was going on. We didn't watch a video board like runners
today. I could hear the times and I knew we were running fast, which
suited me fine. I liked the pace. I thought the pace was great.
Crouch
I was concentrating on the group around me only, and thinking the move is being made to chase him down.
Foster
I
thought Bayi was running too well. He was running brilliantly. He was
the only one accustomed to going out like that because he had tried it a
few times. It hadn't always come off but you knew he was getting
stronger and better.
Jelley
I
thought it would be difficult (to catch Bayi). It was quite a
significant gap. But on every previous occasion Filbert Bayi had folded
and everybody had caught him. This was the exception.
Dixon
There
was nobody else prepared to go after him. We were coming up with a lap
to go and I had to take over. I thought, 'I'm going to run this last 400
as hard as I can. I'm not going to sit around and wait for a sprint. I
have to go out'.
Walker
Rod
didn't go. That was the problem. I needed someone to go and I would go
with them. That was my gameplan. I was a 21-year-old and didn't really
know much better. When he didn't move I got frightened.
Bayi
With
the training I did prior to the Games, I was confident anyone trying to
close the gap over the last 100 or 200m had to be ready for the
challenge.
Dixon
I
led around the top bend and down the back straight and that was when
Jipcho and Walker passed me. Going into the bottom turn I sensed Jipcho
was starting to fade and I could see Walker closing on Bayi. I knew I
had to keep my speed going.
Walker
I
started moving with about 200m to go. I got on the outside of Rod. I
was waiting for him to go but he never went. Then I realised [I had to
go]. Bayi was still too far in front so I chased him and I ran hard
around the bend. Really hard.
Bayi
I
looked back several times to see how far the guys were behind. I saw
Walker closing the gap. That made me relax and wait for the big sprint.
Dixon
Coming
up the home straight, I was picking up a little bit but, as I was
becoming a little more desperate because I wasn't catching him, I tried
to run faster and as soon as you do that you go into oxygen debt. I was
fading and Jipcho came back and claimed third. I was fourth.
Bayi
With
50m to to to the finish I sprinted. I am sure that sprint helped me to
break the world record. Thanks to Walker who really pushed me to find
last gear.
Walker
I
wasted too much energy trying to catch him. By the time I got to the
straight, it looked like I was catching him but I wasn't. He was still
holding me the whole way. I was tying up at 90m. He never slowed down.
He won that race. Not me. He didn't die. If I had got up to him, he
might have faltered because there's a big difference when there's
pressure on but he never died.
The Finish Line
Bayi
crossed the tape in 3.32.2 to set a new world record. Walker was second
in 3.32.5, which also broke Ryun's record of 3.33.1, with Jipcho third
in 3.33.2. As well as a new world record, five new national records were
set. Bayi and Walker immediately embraced, exhausted, but exhilarated.
Quinn
When Bayi crossed the line, we all jumped out of our seats and said, 'world record, 3.32.2'.
Walker
I
was absolutely ecstatic, delighted. I said to Filbert, 'you've broken
the world record' and he said, 'so have you'. He wanted me to do a
victory lap with him and I said, 'no, it's your time, you have broken
the world record'. He insisted and I felt a bit embarrassed.
Bayi (This is Your Life)
It
really was a surprise [to see Walker second] because I had not heard of
him before. I said, 'who is this guy who came behind me?'
Dixon
How is it I can run the fifth fastest time in history and finish fourth in a race?
Foster
When
I crossed the time and saw the times I thought, 'wow, look at that'. I
knew Filbert had won but I didn't know some of the other results. Nobody
could live with Filbert. He was at the limit of human endeavour at that
time. In those days we didn't have pacemakers. Filbert was a fantastic
pacemaker but he just kept going. He was changing the rules. People only
broke world records when they had pacemakers. The pacemaker broke the
world record that day. It was a new era in distance running.
Bayi
I
was so happy to win the gold, but when I looked at the screen and saw
the screen flashing, 'world record' I was even happier. I jumped up and
down while going for the victory lap.
Jelley
When
John failed to catch Bayi I was a bit disappointed but then I looked at
my watch. I'm usually fairly quiet and just concentrate on the race.
Instead of being the usual quiet coach, I jumped onto my seat and
started yelling out, 'it's a world record, it's a world record'.
King (NZ Herald, February 4)
It was the most glorious metric mile in history.
Crouch
Fellow Australian athlete Randall Markey kept saying, 'I wasn't even in the home straight'. His coach had believed he could win.
Dixon
I
stood there in total amazement. I walked off the track and someone
called to me, 'loser'. I thought, 'shit, come on, I ran the fifth
fastest time in history. I know I finished fourth but was only three
steps away from winning. How can I be a loser?' In fourth place you
don't get any prizes. I experienced that again in '76. Fourth is not a
good place.
The Aftermath
Walker
If
I had the race again, I would have beaten him. I would have gone with
him. It's pretty arrogant saying it now but it taught me a lot. I proved
it by going with him at the Helsinki World Games which was only six
months later and beat him by 35m. When he went out in front ... I
couldn't do it and nor could anyone else. He dictated the race so he
could go fast or slow. There was no pressure on him.
Foster
The
great thing was that Jipcho, Walker and Dixon were even able to compete
with him. The New Zealand crowd saw what I believe, apart from the
first four-minute mile, the most significant mile/1500m race in history.
When you look back on it, it is still a wonderful performance by
Filbert Bayi. There wasn't a human being living who could have got
anywhere near that. That was his moment. Sadly he didn't get a chance in
'76 (because of the African boycott of the Olympics). When I see who
was behind him - Mike Boit, Walker, Dixon, Jipcho, Graham Crouch - and I
was in seventh setting a British record... it was an amazing bunch of
athletes and it was the beginning of a new era. In those days athletes
didn't come together every couple of weeks for Diamond League events. To
be part of such an historic event was absolutely fantastic.
Bayi
I
[felt like I changed middle distance running] but I'm not sure if world
knows that. Nothing much has been talked about my front-running. Today,
in any distance starting from the 800m, pace setters (rabbits) are
there to help an individual break a world record and these are the
people who are inducted into the Hall of Fame by the IAAF. I have been
attending Commonwealth Games since Manchester in 2002. In all these
Games, nothing has been mentioned about my unbeaten 1500m Commonwealth
record which, for five years (1974-1979) was the world record.
Crouch
It was great to be part of a historic race, but I never wanted to finish fifth.
Bayi
In New Zealand, things were quiet but every citizen in Tanzania went crazy to celebrate my achievement.
Dixon
At
the time we realised I needed to be looking at the 5000m because these
young guys were showing much more ability over the 1500m than I had.
Walker
I
didn't appreciate what we had done at time. It was only afterwards once
I started reading the press. We had just run one of the greatest foot
races in history at a Commonwealth Games in little, old New Zealand. It
was pretty phenomenal. Those Commonwealth Games were special. We will
never see another one like it. In those days they were one of the
biggest events. We didn't have world champs, you weren't paid.
Dixon
The
Commonwealths in those days were huge. It was a world attention
grabber. The world stopped. When we went to Europe in '74, people were
talking about it everywhere. John loved it and went on to do incredible
things. I feel privileged to have been a part of that race.
Bayi
The
1500m race in Christchurch didn't change my life financially compared
to these days when an athlete breaks the world record - they always
make a fortune. In those days, athletics was fully amateur and receiving
money as an award was illegal.
Walker
Before
the race, no one knew who I was. After that, everyone knew. It took one
race to get noticed. The invitations came from all over Europe. I
didn't have to beg, borrow and steal and rely on other athletes to get
me into races. I had to turn them down in the end.
Foster
I
knew that day when I saw John he was going to be the greatest and he
went on to become world record holder and Olympic champion.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za Wabunge za Hapa Kazi Tu Dodoma
Half Marathon zilizoanzia Bungeni hadi uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Januari 30, 2016, Kushoto ni Mhe. Nape Nnauye na kulia ni Naibu Spika Dk. Tulia na Dokii msanii wa Bongo Movie.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za Wabunge za Hapa Kazi Tu Dodoma
Half Marathon zilizoanzia Bungeni hadi uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Januari 30, 2016. Kushoyo kwake ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Nape Nnauye na kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia
Ackson. Mwansasu (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Washiriki wa mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon wakishiriki mbio hizo mjini Dodoma Januari 30, 2016.
Mmoja
wa wapigapicha walioshiriki mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon
alilazimika kuomba msaada kwa askari wa usalama barabarani Mjini Dodoma
Januari 30, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa pikipiki mshindi wa kwanza
wa mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon upande wa wanaume,
Emmanuel Giniki kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016.
Mbunge wa Mbulu Vijijini akionyesha umahiri wake wa kuruka sarakasi , Mhe. Frate
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya Pikipiki mshindi wa kwanza
upande wa wanawake wa Mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon, Angela
Davile (kulia) kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
Benki ya CRDB tawi la Dodoma ambao wamedhamini pambano la mpira wa
miguu kati ya wabunge na benki hiyo kwenye uwanja wa Jamhuri Januari
30,2016. Benki hiyo pia ilitoa vifaa vya michezo kwa timu ya Bunge.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo kuandaa kikao cha haraka na viongozi wa vyama vya michezo nchini
ili wamueleze kila mmoja amejipanga vipi kuinua viwango vya michezo
katika chama chake.
Ametoa agizo hilo leo mchana (Jumamosi,
Januari 30, 2016) wakati akizungumza na mamia ya viongozi na wakazi
mbalimbali wa mkoa wa Dodoma ambao walishiriki mashindano ya mbio za
nusu marathon (km. 21 na km. 5) zilizofanyika leo mjini Dodoma.
Mashindano
hayo yalijulikana kama “HAPA KAZI TU HALF MARATHON” yamefanyika ikiwa
ni sehemu ya kuhimiza uchapakazi miongoni mwa Watanzania lakini pia ni
sehemu ya maandalizi ya kuelekea kuadhimisha siku 100 za utendaji kazi
tangu Rais John Pombe Magufuli alipoapishwa na kuanza kazi.
“Kuna
maboresho yanaendelea ndani ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo lakini haya yote hayawezi kufanikiwa kama viongozi wa michezo
hawajajipanga vizuri. Ninatakata niandaliwe kikao cha siku moja na
viongozi wa vyama vya michezo nchini ili waje wanieleze kila mmoja
amejipanga vipi kuinua hali ya mchezo wake,” alisema huku akishangiliwa.
Alitumia
fursa hiyo kuupongeza uongozi wa Shirikisho la Riadha Tanzania kwa
kuandaa mbio hizo muhimu za kuhimiza Watanzania kuchapa kazi, lakini pia
ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kushiriki katika mashindano ya
Olimpiki yatakayofanyika baadaye mwaka huu huko Rio de Janeiro, Brazil.
“Tunataka
tuondokane na kauli ya Tanzania kuwa ni kichwa cha mwendawazimu na
nipende kusisitiza kuwa maandalizi haya yasiwe ya mwisho bali yawe ya
muda mrefu kwa sababu tunaenda kushiriki mashindano ya dunia. Nasema
tena, tuache utamaduni wa maandalizi ya kukurupuka,” alisisitiza.
Aliwataka wadau mbalimbali wajitokeze kusaidia taasisi za michezo.
Waziri
Mkuu Majaliwa ambaye alishiriki mbio za km. 2.5 kuanzia saa 1 asubuhi,
alikimbia kutoka eneo la Bunge hadi uwanja wa Jamhuri na kuzindua
mashindano ya km. 21 saa 1:47 asubuhi na yale ya km. tano aliyazindua
saa 1:51 asubuhi.
Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu alikabidhi
pikipiki aina ya GSM kwa washindi wa kwanza wa nusu marathon, mabati 100
kwa washindi wa pili na mabati 40 kwa washindi wa tatu. Mshindi wa tatu
hadi wa 10 kwa wanawake na wanaume walikabidhiwa fedha taslimu.
Washindi
wa kwanza hadi wa tatu waliokabidhiwa zawadi na Waziri Mkuu upande wa
wanawake ni Anjelina Daniel (Pikipiki); Fadhila Salum (mabati 100) na
Catherine Lange (mabati 40). Wote wanatoka mkoa wa Arusha.
Kwa
wanaume walioshinda nafasi kama hizo ni Emmanuel Giniki (Katesh, Babati)
aliyeshinda pikipiki; Gabriel Gerald wa Arusha (mabati 100) na Fabian
Joseph wa Arusha (mabati 40).
Wakati huo huo, Benki ya CRDB
Dodoma ilitoa zawadi za sh. 250,000/- kila mmoja kwa washiriki watatu
ambao ni walemavu walioamua kushiriki mbio hizo mwanzo hadi mwisho.
Waliokabidhiwa zawadi hizo na Waziri Mkuu ni Bw. Hassan Hussein Sharif,
Bw, Christian Ally Amour na Bw. Shukuru Khalfani.
Benki hiyo
ilikabidhi pia vifaa vya michezo kwa ajili ya timu ya wabunge kwa ajili
ya pambano la soka linalotarajiwa kufanyika leo saa 10 jioni kwenye
uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma baina ya timu ya Bunge na timu ya CRDB.
SHIRIKISHO
la Riadha Tanzania(RT) limeandaa mbio fupi kwa ajili ya kuhitimisha
siku 100 za rais Dk.John Pombe Magufuli kuwa Ikulu zitakazotimua vumbi
jumamosi hii januari 30 mwaka huu mjini Dodoma.
Mbio hizo
zimepewa jina maalumu la Dodoma ‘hapa kazi tu’ Half Marathon ambazo
zitashirikisha washiriki mbali mbali wakiwamo waheshimiwa
wabunge,mawaziri,wanafunzi,walemavu na wanariadha wakongwe
nchini.Akizindua mbio hizo mjini Moshi mwishoni mwa wiki zinazodhaminiwa
na Kampuni ya JSM,Rais wa shirikisho hilo,Anthony Mtaka alisema kuwa
lengo la kuanzishwa kwa mbio hizo ambazo zimeandaliwa na kuendeshwa na
shirikisho hilo ni kufufua michezo hapa nchini.
Pia alisema mbio
hizo zitatumika kwa ajili ya kumpongeza Rais Dk.John Pombe Magufuli
kutimiza siku 100 tangu aingie maradakani ambazo zitakuwa februari 14
mwaka huu.Kwa mujibu wa rais huyo wa RT,mbio hizo zimegawanywa katika
makundi matatu ambako mbio za kwanza ni za kilomita 2.5 ambazo
zitashirikisha wabunge,mawaziri,walemavu,wanafunzi ,wazee na watu
mbalimbali.
Mbio za kilomita 5 ambazo ni za kujifurahisha
zitashirikisha wakimbiaji wote na mbio za nusu marathon ambazo zitakuwa
ni mbio za ushindani washindi watapata zawadi .Akitangaza zawadi kwa
washindi,Mtaka alisema mshindi wa kwanza kwa upande wa wanaumme na
wanawake atapata zawadi ya piki piki yenye thamani ya sh,Milioni
2.8,mshindi wa pili akipata bati 100,wa tatu bati 40,mshindi wa nne
akipata sh,200,000 huku mshindi wa tano akiondoka nash,100,000.
Mshindi
wa sita hadi wa kumi watapata kifuta jasho cha sh,50,000 kila mmoja
huku waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ndiye atayakuwa mgeni rasmi
katika ufunguzi wa mbio hizo na atashiriki
mbio za kilomita 2.5.Wanafunzi waatakaopenda kushiriki mbio hizo
watasajiliwa kwa sh,500,huku vwasio wanafunzi wakisajiliwa kwa sh,1,000
na wingine ambao hawakutajwa ni kundi gani wakisajiliwa kwa sh,5,000 na
fedha hizo kwa mujibu wa Mtaka zitasaidia kambi ya wanariadha
watakaoshiriki michuano ya Olimpiki.
Uzinduzi
huo pia ulitumika kuwatambulisha wanariadha wawili ambao wamekidhi
vigezo vya kushiriki michuano ya Olimpiki itakayofanyika nchini Brazil
mapema mwezi Agosti mwaka huu ambako nchi zaidi ya 216 kutoka kila kona
ya dunia zitashiriki
Wanariadha
hao ni Alphonce Felix ambaye ana wastani wa muda wa kukimbia wa saa
2:12.01 na Said Makula ambaye muda wake wa kukimbia ni saa 2:13.27 na
watatumia mbio hizo mjini Dodoma kama majaribio yao ya kitaifa kati ya
majaribio sita ya kitaifa kabla ya kwenda Brazil.
Julai
6 mwaka jana,Felix alishiriki mbio za Gold Coast Marathon nchini
Australia na kumaliza nafasi ya sita huku Makula akishiriki mbio za
Casablanca Marathon oktoba 25 mwaka jana na kumaliza katika nafasi ya
nne.
Rais
wa Shirikisho la Riadha Tanzania ,Anthony Mtaka akiwa na Mwe3nye3kiti
wa Chama cha riadha mkoa wa Kilimanjaro,( KAA) Liston Methacha wakati wa
uzinduzi rasmi wa mbio za Dodoma Hapa Kazi tu Half Marathoni 2016
zinzotarajia kufanyika January 30 mwaka huu mjini Dodoma. Baadhi
ya wadau wa Riadha wakifuatiia mkutano wa uzinduzi wa Mbio za Dodoma
Hapa kazi tu Half Marathon 2016 uliofanyika katika Hotel ya Nyumbani
mjini Moshi. Rais
wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka akizungumza na
wanahabari (hawako pichani ) wakati wa uzinduzi rasmi wa Mbio hizo.
Kocha
wa timu ya taifa ya Riadha ,Francis John akiwa na wanariadha ,Alphonce
Felix na Said Makula waliofuzu viwango vya kushiriki mashindano ya
Olyipiki ,walipotamburishwa mbele ya wanahabari . Raisi
wa RT ,Mtaka kifanya mahojiano na Mwandishi wa habari ,Enos Masanja wa
Azam TV.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.