Ndugu Gulam A. Rashid,
Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Tanzania,
Ndugu Filbert Bayi Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania,
Ndugu Viongozi wa Kamisheni ya Wachezaji
Tanzania,
Wageni Waalikwa,
Mabibina Mabwana.
Awali ya yote,
napenda kutoa shukrani zangu kwa viongozi wenzangu wa TOC
kwa kunishirikisha na kunipa heshimahiiyakuwamgenirasmiwakuufunguaMkutanohuumuhimuwaKamisheniyaWachezaji
Tanzania.
Kwanza
naipongezaofisiyetuyaKamatiyaOlimpiki
Tanzania
kwakutekelezamaagizoyaKamatiyaOlimpikiyaKimataifayakuzitakaKamatizaOlimpikizaKitaifakujumuishawachezajikwenyeKamatizakezaUtendaji,
naMikutanoMikuuyakehalikadhalikanaVyama/MashirikishoyaMichezowanachamawa
TOC
ambaomichezoyaoipokwenyeratibayaMichezoyaOlimpiki(Summer/Winter).
Ni
matumainiyanguwengiwawawakilishiwaliohapaniwajumbehalaliwaliochaguliwanawachezajiwenzaondaniyaVyama/Mashirikishoyamchezohusikakwanjiayademokrasianasiyokuteuliwanaviongoziwavyama/mashirikishoyamichezoyenu,
vile
vilekutokaamadarakanizaidiyamudawauongoziambaoukokwenyemwongozowenukamamlivyoelekezwanaKamatiyaOlimpikiyaKimataifa
(IOC)
kupitiaKamatiyaOlimpikiyaTanznaia (TOC).
NatoawitokwaviongoziwaKamisheniyaWachezajiwanaowakilishavyama/mashirikishoyamichezokusaidiananaviongoziwaVyama/Mashirikishohusikailikamahavipohai,
basiwajitahidikuvifufuakwamaanayakufanyauchaguzikwamudamuafakakufuatakatibazao.
Kuna
michezominginehufakutokananakutokuweponamsukumokutokawadauwavyama
/mashirikishoyamichezoambaoniwachezaji.
ViongoziwaKamishenikatikavyama/mashirikishovinawajibuwakusaidiamaendeleoyamichezokatikataifaletukupitiavyamanamashirikishoyao.
Kamishenizilizochaguliwanazilizopoziwezekutoachangamotoyaushauriwanamnayakuendeshamichezonchini,
kwanihadiduzarejeazakazizaonipamojanakuamshaariyawachezajiwenginewakitaifanakimataifakatikakufikiamahalipazuri
pa
kupatawachezajiwatakaowakilishavilabu,
vyamanamashirikishoyetukatikangazimbalimbalizamashindano.KAWATA
kuanziangaziyaVyama/MashrikishoyaMichezohadiTaifahaziwezikukwepalawamawakatitimuzetuzinapofanyavibayakatikaMashindanoyaKimataifa.
Nimefahamishwakuwawachezajiwengipamojanakwambammekamilikahapakuhudhuriamkutanohuu,
lakinindaniyavyama/mashirikishoyenuhampewinafasiyakuwamojawawajumbewaKamatizaUtendajizaVyama,
MashirikishonaVilabuvyamichezonakuwananafasiyauwakilishiwenyekurakatikaMikutanoMikuu.Ndaniyanafasihizokunamaamuzimengineyanawahusuwachezajiambaondiyowadauwakubwawavyombovyetuvyamichezohapanchini,
lakinimaamuzihayoyamekuwayakiamuliwanaviongoziwavyama/mashirikishoyamichezo,ndiyomaanaTOC
naIOC
wakalionahilinakuamuawawepowawakilishiwaWachezaji. Ni
matumainiyangukamamojawaviongoziwa
TOC,VyamanaMashirikishoyaMichezo Tanzania Bara na Zanzibar
wametekelezamaagizoya IOC kwafaidayaMichezokatikanchiyetu. .
Binafsi,
ninaungakabisaumuhimuwaKamisheniyaWachezajikatika TOC,
Vyama/MashirikishonaVilabuvyaMichezo, huuniuamuzimzuriwaKamatiyaOlimpiki
Tanzania (TOC)naKamatiyaOlimpikiyaKimataifa (IOC),
nanikatikakukamilishaazmayamaadiliyaOlimpikihasakuwapawachezajihakiyakutoamawazoyaokatikaKamatizaUtendajizaVyama/Mashirikishona
TOC.
PiaKamishenikupitiaVyama/MashirikishoyetuyaMichezoipingekwanguvuzoteutumiajiwamadawayakuongezanguvukatikamichezoambakokwasasaumeongezekakwakasi.Shirikisho
la
Riadha la Kimataifa (IAAF) imeshaanzakupambanananchiambazowanariadha
wake
wamekuwawakitumiamadawayakuongezanguvukatikariadha.
KamisheniivihamasisheVilabunaVyamavyaMichezokuwanaKamishenizaoilizisaidiemaendeleoyamichezohapanchini,
msikubalidaimakutumwakatikamikutanokamahiikwakuteuliwabilakuchaguliwa.
KwahayamachachesasanikotayarikufunguarasmiMkutanowenunakuwatakiakila
la kheri.
Ahsanteni
kwa kunisikiliza.
Baadhi ya wajumbe wa Kamisheni ya Wachezaji Tanzania (Kawata) wakiwa katika mkutano mkuu wao leo Zanzibar. |
0 Comments